2/12/2012 · mtu aliyesoma egm ana advantage ya kusoma programs kama IT,statistics,actuarial sciance,geology, computer sciance,building economics,arctecture engineering,surveying nk.binafc nlisoma Hge na nlikua na ndogo ya kusoma geology chuo kikuu bt mwisho wa cku nkajikuta nasoma bcom ambayo kwa sasa ishakua yeboyebo,so dogo ushauri wangu kwako,ni kama una kichwa cha.
FRANCIS Samkyi mwanafunzi bora wa kiume kitaifa kidato cha sita 2017 wa masomo ya mchepuo wa Lugha na Sanaa (Uchumi, Jiografia na Hisabati – EGM ),- kutoka shule ya Feza Boys jijini Dar es Salaam, anasema uchaguzi mzuri wa marafiki ambao hawakumpotosha ni.
3.2.Ada na michango kwa wanafunzi wa kutwa mchepuo wa EGM , HGE,HKL,HGL na HGK. Mchanganuo ufuatao unaonyesha (i) Ada – 20,000/-, Napenda Kuwauunganisha Form 6 leavers na Diploma holder Katika Utambuzi Yakinifu wa Kozi za kuchagua ktk level ya degree. Aina ya kozi nzuri ya KUSOMA kutokana na Mchepuo wako wa A-level na kwa diploma holder; Marketable course in terms of Employment opportunities; Future market ya kozi husika hasa Ktk nchi inayoendelea Kama Tanzania, Aidha, kinara wa masomo ya mchepuo wa Lugha na Sanaa, ambaye ni wa EGM (Uchumi, Jiografia na Hisabati), Francis Samkyi wa Shule ya Feza Boys ya jijini Dar es Salaam, alisema amefurahi kutimiza lengo la mtihani huo na kwamba sasa nia yake ni kutimiza ndoto yake ya kuwa mtaalamu wa .
Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kunifanya kuwa hai siku hii ya leo na kuandika mambo yenye faida kwa wadogo zangu kidato cha sita mwaka 2018. Vitu nitakavyozungumzia; 1.Aina ya Kozi nzuri ya KUSOMA kutokana na Mchepuo wako wa A-level uliosomea, Utata wa jambo hili ni kama tulioueleza hapo juu wa mwanafunzi kuchaguliwa mchepuo tofauti kabisa na masomo anayosoma. Kwa mfano kuna kijana tunayemfahamu akisoma masomo ya mchepuo wa Economics, Geography na Mathematics ( EGM ) lakini akachaguliwa mchepuo wa History, Kiswahili na Language (HKL). Tofauti iliyoje!